Factory Directions From Arusha

Safe Water Ceramics of East Africa is located 7 kilometers east from the center of Arusha town at Ngulelo. On the left side of the road from Arusha town, two buildings before Snow Crest Hotel and opposite to Meru View Hotel. Our light blue board “Safe Water Ceramics of East Africa” is seen from the road and our “SWCEA” initials are painted on the roof. Our shop and factory are right next to the Safe Water Ceramics of East Africa gate.

 

 

 

Maelekezo ya Mahali SWCEA ilipo

Safe Water Ceramics of East Africa ipo kilometa 7 toka kati kati ya mji wa Arusha.Mkono wakushoto ukiwa unatoka mjini Arusha.Majengo  mawili kabla ya Snow Crest Hotel,tupo mkabala na Meru View Hotel. Utaona kibao barabarani kilicho andikwa Safe Water Ceramics  of East Africa. Duka letu na kiwanda vipo pembeni ya geti lililo andikwa Safe Water Ceramics of East Africa.