About Us / Kuhusu Sisi

SWCEA produces ceramic water filters for clean and safe water. This organization is based in Arusha, Tanzania and distributes filters in Tanzania and other East African countries.  SWCEA employs local people in the production of their ceramic water filters. Mesiaki Kimirei is a Tanzanian potter who has been trained in ceramic water filter technology.

44 million people (46% of Africans) suffer from drinking unclean and unsafe water. SWCEA’s mission is to reduce the rate of death and illness caused by drinking unclean and unsafe water and to provide affordable filters to people, including the poor. SWCEA is concerned about all water problems in our society and works hard to ensure safe and clean water.

SWCEA is a partner of Wine to Water, a U.S. non-governmental organization that deals with ensuring of clean and safe water globally. For more information, please visit www.winetowater.org/safewaternow.

 

KUHUSU SWCEA

SWCEA na uzalishaji wa chujio za maji safi na salama. Shirika hili lipo Arusha, Tanzania. SWCEA ni shirika linalosambaza chujio la maji safi na salama Tanzania na nchi zingine za Africa.  SWCEA inaajiri wenyeji kwenye uzalishaji wa chujio za maji safi na salama. Mesiaki Kimirei ni mfinyanzi wa kitanzania aliyepata mafunzo ya tekinolojia ya chujio ya maji safi na salama kwenye kisiwa cha Dominican.

Watu milioni 44 (46% ya Waafrika) walipoteza maisha yao kutokana na maji yasiyo safi na salama. Nia  kuu ya SWCEA ni kupunguza kiwango cha vifo na magonjwa yanayosababisha na unywaji wa maji yasiyo safi na salama, zaidi ya hayo upunguzaji wa magonjwa yasababishwayo na maji. Malengo ya SWCEA ni kusambaza chujio zinazo nunulika na pia kwa watu wa kipato cha chini.  SWCEA yahusu zaidi matatizo yote ya maji katika jamii zetu na inafanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha maji safi na salama. Uwepo wa chujio hizi unasaidia kuhakikisha kuwa jamii inapata maji safi na salama.

SWCEA ni tawi la Wine to Water. Pia Wine to Water ni shirika lisilokuwa la kiserikali iinalohusika na uhakikishaji wa maji safi na salama duniani kote. Kwa taarifa zaidi tembelea tuvuti yake www.winetowater.org/safewaternow

.